Bad News: Mwanafunzi Mmoja Afariki na Watatu Kujeruhiwa Baada ya Kuangukiwa na Ukuta


Ajali hii ya kuanguka kwa ukuta imetokea katika Shule ya Msingi ya Kijichi ambapo wanafunzi 3 waliojeruhiwa wamelazwa hospitali ya Temeke kwa ajili ya matibabu

Imefahamika kuwa waliojeruhiwa ni Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwawani na Shule ya Msingi Kijichi

Tukio hili limetokea mapema asubuhi ya leo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad