
Inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni Lori lililokuwa linakatiza barabarani, dereva wa basi alipojaribu kulikwepa ndipo ajali hiyo ikatokea
-
Basi hilo lilipoteza uelekeo na kutoka nje ya barabara na kwenda kugonga gema
-
Majeruhi kadhaa wa ajali hiyo wamekimbizwa hospitali kwa matibabu.