Basi la Mwendokasi Lawaka Moto Ubungo Dar


Basi la Mwendokasi mchana wa leo limewaka moto katika Injini yake maeneo ya Ubungo, jijini Dar.. 


Kikosi cha Zimamoto kilifanikiwa kuzima moto na basi kupelekwa katika karakana. Hakuna abiria yoyote aliyepata madhara
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad