Bill Nass "Wanawake na Wanaume Wote ni Miyeyusho Katika Mapenzi"


BILL NASS :
Ukituuliza Wanaume kuhusu Mapenzi tutakwambia Wanawake Miyeyusho, na Ukiwauliza Wanawake kuhusu Mapenzi watakwambia Wanaume Miyeyusho ! Ila kitu ambacho hukijui Wanawake Wanafanya Miyeyusho yao na Wanaume, Na Wanaume Wanafanya Miyeyusho Yao na wanawake kwa hiyo Wote ni Miyeyusho!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad