Callisah Ashinda Medali ya Mr. Afrika Nchini Nigeria

Calisa Ashinda Medali ya Mr. Afrika Nchini Nigeria
Mwanamitindo wa kiume Tanzania, Callisah ameibuka mshindi wa Mister Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika nchini Nigeria.

Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Lagos, Nigeria na kushirikisha nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Lesotho, Nigeria, Ghana, Cameroon na nyingine.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Mister Africa International, Calisa alitangazwa kushika nafasi ya kwanza.






Calisa katika akaunti yake ya instagram ameandika, “Hii sio yangu, ni yetu. Thank you Tanzania, thank you East Africa,thank you Africa. Asante kwa wote walionisapoti kwenye kila hatua ya kufanikisha hili”.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad