Cardi B na Offest mambo ni moto

 Cardi B na Offest mambo ni moto
Baada ya siku kadhaa rapper Offest kuvamia stage ya Rolling Loud kwaajili tu ya kuomba msamaha kutoka kwa Cardi B inaonekana msamaha umepitishwa hii ni baada ya wawili hao kuonekana pamoja katika fukwe nchini Puerto Rico.

Taarifa kutoka mtandao wa TMZ unaripoti kuwa wawili hao wameonekana baharini nchini humo wakila bata pamoja na kuendesha jet ski huku wakiwa na furaha, tukio hilo linakuja baada ya Cardi B kutangaza kuachana na Offset December 5,2018.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad