Diamond afunguka kuhusu kipaji cha Mbosso

Diamond afunguka kuhusu kipaji cha Mbosso
Staa wa muziki wa bongo fleva Diamond Plutnumz ametoa ya moyoni kuhusu Mbosso.

Kupitia instagram akaunti yake Diamond Platnumz afunguka haya:

Am so Happy to see Africa Recognize your Talent @mbosso_ .... I told you, jus be Pattient, Work Hard, Be Humble & Creative and One day you will see God's miracle, and there you are... I Can't wait for the World to hear your First Album !!!.... My People, please let's not forget to Vote for @mbosso_ on SOUND CITY MVP AWARDS as THE BEST NEW ARTIST AFRICA... #WCB4LIFE

(Safari yako ilianza na Misukosuko na Changamoto nyingi sana... lakini Kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu leo Africa inatambua na kufurahia Kipaji chako....

Kama sikuzote nikwambiavyo, kuwa Mvumilivu, Jitume, heshim kila mtu, Kuwa Mbunifu na Kumuomba sana Mwenyez Mungu nae atakufungulia Milango...WADAU tafadhali tusiache Kumpigia Kura @mbosso_ katika SOUNDCITY MVP AWARDS Kama THE BEST NEW ARTIST AFRICA yaani Msaii Mpya Africa....Maelezo kupitia kwenye Ukurasa wake @mbosso_ )

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad