Diamond Atia Neno Baada Ya Naibu Spika Kucheza ‘Nyegezi Mwanza’

Diamond Atia Neno Baada Ya Naibu Spika  Kucheza ‘Nyegezi Mwanza’
Msanii wa muziki wa Bongo fleva na CEO wa WCB Diamond Platnumz ameibuka na kutia neno Baada ya video iliyomuonyesha Naibu Spika Dr. Tulia Akson akiwa anacheza na kuimba wimbo wa ‘Mwanza’ uliofungiwa.

Mwezi uliopita Baraza la Sanaa Tanzania liliufungi rasmi wimbo wa ‘Mwanza’ ulioimbwa na Diamond Platnumz kushirikiana na Rayvanny kwa madai ya kukiuka maadili ya Kitanzania.

Siku chache zilizopita video iliyowaonyesha viongozi mbali mbali wa Bunge ikiwemo Dr. Tulia wakicheza wimbo wa Mwanza wakiwa anasheherekea ushindi wake dhidi ya Uganda ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua gumzo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ametoa neno kuhusu video  hiyo huku akimshukuru sana kwa sapoti:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad