Diamond Platnumz Adhibitisha Kujenga Nyumba Kenya na Kuoa


Diamond Akiwa Kenya Mapema leo Akiwa Kenya Kwa ajili ya Show ya Wasafi Festival amesema Amesha anza kujenga nyumba Kenya...Ana Amedhibitisha mpango wa kuoa mke kutoka huko

Ameyasema hayo Baada ya kuulizwa Swali na Mtangazaji Rachel Mwalimu wa Kituo cha NRg Transit kwenye Press Conference iliyofanyika leo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad