Dkt. Bashiru Ally(CCM) Amtaka Bernard Membe Kujibu Kuhusu Kufanya Vikao vya Kutafuta Kura 2020

MADAI YA KUMKWAMISHA JPM: Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernald Membe kufika ofisini kwake kukanusha madai yanayomkabili.

Bashiru Ally ametema cheche hizi kwa waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe ambaye pia ni mwanachama wa CCM kufika ofisini kwake kuzungumzia tetesi zinazoenea kuwa anafanya mipango ya kutafuta kura 2020.

VIDEO;

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad