Dogo Janja Amjengea Mjengo Mama Yake Baada Ya Baba Yake Kufariki

Dogo Janja Amjengea Mjengo Mama Yake Baada Ya Baba Yake Kufariki
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Abdul Chende maarufu kama Dogo Janja ameuanika mjengo ambao amemjengea Mama yake mzazi miaka miwili baada ya baba yake kufariki.


Siku ya jana December 4, 2018 Dogo Janja, amefanya dua ya kumuombea Baba yake ambapo pia ametuonyesha nyumba aliyomjengea Mama yake Mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha Mama yake anaishi sehemu nzuri.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Millard Ayo Tv, Dogo Janja ameandika mjengo huo na kufunguka mengi:



Sisi tumekulia katika nyumba ya kupanga, Mimi na Kaka yangu tulikuwa tunalala sebuleni baada ya Baba kufariki Mimi nimebaki kama Baba wa familia, Mama angu anahitaji sana faraja, najitahidi sana kumpa faraja sababu siwezi badilishana na Mtu mama”.

Lakini pia Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja amefunguka muhimu wa yeye Kama Mtoto wa kiume kumjengea Nyumba hiyo Mama yake:



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad