Fahamu madhara yatokanayo na kutumia sindino za kuzuia mimba


Kwa hivi karibuni kumekuwapo na njia mbalimbali zinazotumika ili kuzuia mtu kupata mimba, pamoja na kuwepo kwa njia hizo wengine wamekuwa wakichoma sindano ili kuzuia kupata mimba, Yafutayo ndiyo madhara yatokanayo na uchomaji wa sindano za kuzuia mimba. 

1.Unapochoma sindano za kuzuia mimba basi jiandae kupata usumbufu wa mzunguko wa  hedhi yako. 

2. Pia unayetumia njia hii basi jiandae kuumwa kichwa  mara kwa mara ikiambatana na kupatwa na Kizungu zungu. 

3. Kupatwa na kichefu chefu mara kwa mara. 

4. Mara nyingi watu wanaotumia sindano hizi hupatwa na tatizo la kuongezeka uzito usiokuwa na faida. 

5. Wakati mwingine husababisha mtu kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa. 

NB: Muungwana Blog inakumbusha ewe mwanamke ni vyema kuchukua tahadhari mapema juu ya njia salama za uzazi wa mpango kwani unaathirika bila wewe mwenyewe kujua. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad