Fastjet Yakalia Kuti Kavu...Watakiwa Kuondoka Nchini


Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika hilo la ndege, Lawrence Masha amedai Mamlaka ya anga nchini imeinyima Fastjet vibali vya kuingiza ndege mpya

Aidha, inaelezwa kuwa Fastjet wametakiwa kuondoka nchini kwani shughuli zote za usafiri walizokuwa wanazifanya kwa sasa zitakuwa zikifanywa na ATCL

Masha anayemiliki hisa 68% kwenye shirika hilo, pia ana mpango wa kununua hisa zote kutoka kampuni mama ya Fastjet PLC ya Afrika Kusini

Mpango huo ulikuja baada kampuni ya Fastjet PLC kutangaza kwamba ingesitisha mara moja kutoa fedha kwa kampuni ya Fastjet Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad