Fid Q, Steve Nyerere wampa Pole Daimond Baada ya Kuanguka Stejini Sumbawanga

Fid Q, Steve Nyerere wampa Pole Daimond Baada ya Kuanguka Stejini Sumbawanga
Msanii wa muziki, Diamond Platnumz Jumapili hii alipata matatizo ya kuanguka stejini katika tamasha la marudio la Wasafi Festival lililofanyika Jumapili hii.



Walifanya show hiyo ya marudio baada ya Jumamosi iliyopita kushindwa kufanya show kutokana na mvua kubwa kunyesha.

Siku ya Jumapili hii Diamond alipanda kwenye steji na wasanii wenzake lakini kwa bahati mbaya alianguka stejini wakati wakiimba wimbo, Zilipendwa. Muimbaji huyo mpaka sasa anaendelea vizuri kwani hakuumia sana kwamijibu wa taarifa aliyoitoa.

“Hakika Mchezo Usiuchezee….SUMBAWANGA Mmenishinda Tabia jamani @rayvanny @mbosso_ …..ZANZIBAR!!! ZANZIBAR!!! Tukutane Uwanja wa AMANI siku ya JUMANNE ya Kesho kutwa tateh

Baada ya post hiyo wasanii na wadau mbalimbali wamempatia pole muimbaji kwa ajali aliyoipata. Hawa ni baadhi ya wasanii waliotoa pole.

Fareed Kubanda

“Poleni wana.. Siku zote hakuna kazi isiyokua na changamoto.. ALUTA CONTINUA!! 🙏🏾”

Soudy Brown

“Tuweke u #shilawadu pembeni, pole sana muuza Karanga, Pole na maumivu Pole kwa Ajali, I Hope unaendelea Vizuri Show kama hizi zinahitaji…

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad