Mashine zaidi ya 7000 za kura, maboksi ya kupigia kura na vifaa vingine vilikuwa vimehifadhiwa kwenye ghala hilo lililopo Mjini Kinsasha
Aidha, Tume ya Uchaguzi(CENI) imesema uchunguzi unaendelea na moto huo ambao unakadiriwa kuteketeza kila kilichokuwepo hautabadilisha tarehe ya uchaguzi na kuwa itabaki ile ile
CENI ilitangaza kuwa Uchaguzi Mkuu katika Jamhuri hiyo ya Congo utafanyika Desemba 23 mwaka huu