Godwin Gondwe “Hata ukimtia Mwanao mimba nitaruka na wewe kweli kweli”

Godwin Gondwe “Hata ukimtia Mwanao mimba nitaruka na wewe kweli kweli”
Wananchi Wilayani Handeni mkoani Tanga wametakiwa kutanguliza uzalendo mbele kwa kushiriki shughuli za maendeleo ikiwa ni ishara moja wapo ya kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazoletwa na Uongozi wa Serikali ya awamu ya tano.

Kauli hio imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe wakati wa zoezi la uchimbaji msingi wa vyumba vitano vya madarasa katika Shule ya Sekondari Kwamatuku uliofanywa na wananchi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad