Haji Manala Awajia Juu Barcelona "Kwanini Mnafanya Roho Mbaya Pengo la Iniesta Litazibwa na Chama"

Haji Manala Awajia Juu Barcelona "Kwanini Mnafanya Roho Mbaya Pengo la Iniesta Litazibwa na Chama"
Kutokana na uwezi aliounesha kiungo fundi na mwenye balaa la aina yake, Clatous Chama katika mchezo wa jana dhidi ya Mbabane Swallows katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema mchezaji huyo anastahili kusajiliwa Barcelona.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameeleza kuwa Chama anastahili kuchukua namba ya Andres Iniesta ambaye ameshaondoka Catalunya ili kuchukua nafasi yake akiamini kuwa ni bora.

Aidha, Manara amemtaja kuwa Chama ndiye kiungo bora kuwahi kutokea katika soka la Tanzania huku akimsifia zaidi akiamini hakuna kama yeye kwa sasa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad