Hivi ndivyo Young De, Tunda, Daimond, Abdu Kiba Walivyochanwa Kwenye Wimbo wa Young Killer

Hivi ndivyo Young De, Tunda, Daimond,Abdu Kiba Walivyochanwa Kwenyewe Wimbo wa Young Killer
Msanii wa bongo fleva Young Killer amemzawadia rapa Young Dee zawadi ya wimbo mpya, ‘Apple DSM’ siku ya jana ambayo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa rapa huyo.



Kupitia akaunti ya Young Killer aliandika, “KATIKA KUHESHIM SIKU YAKO YAKUZALIWA MWANANGU @youngdaresalama “UKIWA KAMA MOJA YA WATU NILISHIRIKIANA NAO VIZUR KWENYE GAME HII” NAOMBA NIKUTAKIE MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA” PIA NIMEONA NIKUPE HIYO ZAWAD YAKO NDOGO “WEW PAMOJA NA MWENZIO @official_tunda #HIYO NI ZAWAD YENU”



Wimbo huo umawazungumzia baadhi ya wasanii humo ndani akiwemo, Diamond Platumz, Aslay, Abdu Kiba, Ben Pol, Tunda na wengine.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad