Idara Muhimu za Serikali ya Marekani Zaendelea Kufungwa


Rais Trump alieleza kuwa hawezi kusema lini Serikali itafunguliwa, itafunguliwa pale ambapo watapata fedha kwa ajili ya kujenga ukuta katika mpaka wa Marekani na Mexico
-
Alidai maelfu ya Wafanyakazi walioko nyumbani kutokana na Serikali Kuu kufungwa wanataka ukuta ujengwe licha ya ukosefu wa ushahidi wa kuunga mkono madai yake
-
Viongozi wa chama cha Democratic wamemlaumu Trump kwa mkwamo huo katika shughuli za Serikali na kusema kuwa anaitumbukiza nchi kwenye matatizo
-
Januari mwaka huu, Marekani ilifunga baadhi ya shughuli zake baada ya baraza la Seneti kushindwa kupitisha mswaada wa matumizi ya Serikali
-
Mwaka 2013 pia katika utawala wa Rais Barack Obama, nchi hiyo ilifunga shughuli zake kwa siku 16 baada ya kukosa fedha za matumizi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad