Irene Uwoya Ajibu Haya Kuhusu Picha yake na Mzungu


Headlines za msanii kutoka Bongo movie, Irene Uwoya ambae Dec 29, 2018 alikutana na waandishi wa habari kwenye redcarpet ya Funga mwaka na King kiba, sasa miongoni mwa swali aliloulizwa ni kuhusiana na picha iliyosambaa akiwa na Mzungu huku Zanzibar ambapo alikwenda kusherehekea birthday yake.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad