Jokate Ampokea Hamisa Kisarawe

Jokate Ampokea Hamisa Kisarawe
Mwanadada  ,mwanamitindo na mkuu wa Wilaya aya Kisarawe  Jokate Mwegelo amekuwa moja ya wanawake wachache vijana kwa baadhi ya watu kukimbilia hasa wanapojua kuwa huyo ni kijana mwenzao.

kwa siku iliyopita, mwanadada jamisa mobeto alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo aliamua kusherekea siku hiyo kwa kutoa kitu kidogo kwa wale wahitaji na aliamua kufanya hivyo kwa kwenda katika wilaya  ya Kisarawe ambapo alitoa misaada mbalimbali.

hata hivyo baada ya kufika wilayani hapo , mwanadada Hamisa obeto alipokelewa na mrembo mwenzake, jokate mwegelo na kufanukisha tukio zima la kushereka siku yake na watoyo wenye uhitaji chini ya Mobeto Foundation.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad