Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba Walikutana Wapi?


Joseph Kusaga kupitia Clouds FM amefunguka walipokutana na Ruge Mutahaba

"Ruge nimekutana nae miaka 22 or 23 iliyopita wakati huo ndiyo tulikuwa tunapiga disko na Ruge alikuwa wale watu wasiolala mpenda raha. Yeye alikuwa na mapenzi ya muziki na alikuwa mtoto wa kishua akija lazima umuweke pembeni umchunge ili wahuni wasimzingue....(wanacheka kidogo)" @josephkusaga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad