Kama Ningejua Shemeji yupo Hivi Nisinge Ruhusu Dada yangu Aolewe Naye. Nataka Nivunje ndoa yao


Naandika kwa majonzi sana.toka jana usiku sijaweza kulala kutokana na yale yanayoendelea hapa home.

Mimi nina miaka 42 nliwahi kuwa na kazi lakini toka mwaka 2016 sipo kazini sababu nlisingiziwa nina cheti feki.

Nikairudisha familia kwao nami nikarudi mkoani lakini mwaka huo huo mwezi wa 9 nlipata sehemu ya kuja kufanya interview hapa dar sister akanambia nifikie kwake basi nikaja sikufanikiwa kupata ile kazi.

Lakini nikaendelea kukaa hapa kwa sister mpaka leo sikujua shemeji ana roho mbaya kama shetani mara ya kwanza ilikuwa poa lakini baadaye akaanza kunifanyia visa.

Mara tukiwa tunaangalia tv sebuleni anaanza kumtomasa tomasa sister na sometime anamshika makalio mbele yangu kabisa sister anacheka tu kama fala sijui kamroga?

Kama vile haitoshi shemeji kamshawishi sister wamwondoe msichana wa kazi.hivyo mi nalazimika kuingia jikoni kupika chakula changu wao wakirudi wanakula huko huko maana wote wanaenda kazini.

Hebu imagine mimi ndo nawafungulia geti wakirudi wanapiga horn nikafungue geti kuna siku sikwenda wakarudi huko huko na kwenda kulala hotel ijumaa mpaka jumapili.

Nlikaa na njaa siku mbili zote toka siku hiyo siwezi kugoma kwenda kufungua geti shemeji ameficha remote za tv na decoder. Ameniwekea tu TBC so nikiwasha tv nakutana tu na chanel hiyo na mbaya decoder haina pa kubadilishia kwa mkono.

Nimejikuta naangalia vipindi vyooote vya tbc maana sina la kufanya nami nmekuwa home hapa naandika barua za kuomba kazi juzi juzi nmeomba nauli kwa sister ya kwenda posta kanipa tsh 800. Yaani hii si akili ya sister kabisa itakuwa ni akili ya shemeji roho mbaya.

Niliumia sana mtu mzima napewa nauli kamili?nikawaza labda nichomoe deki yao nikauze ila roho ya imani ikanijia sasa wananunua unga na maharage wanacha hapo eti ndo nipike nile wali na nyama ni mpaka wawepo wao weekend.

Huyu shemeji ni roho mbaya sana tena hana ubinadamu kabisa ndo maana hata hawajapata mtoto mpaka leo hii sister naye kawa kama zezeta anamsikiliza sana mumewe.

Jana asubuh ndo wamenikwaza sana sister katoka chumbani wanakimbizana na shemu huku yeye anasema hataki amechoka atarudi kwao maana yeye shem anataka sana kumla atamkondesha bure shem katoka na boxer yake imeloana mbele sister amejifunga tu kanga kama watoto wanakimbizana.

Hawajali nipo sebuleni hata heshima hawana nimesikitika sana shemeji roho mbaya sana huyu ngeweza mshauri sister aachane naye maana nmeshachoka naye kwa kweli.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zamani waliimba wanamuziki wa dansi, akufukuzaye hakwambii toka, utaona mambo yanabadilika. Inaonekana kama wenyeji wako wanekuchoka au wanahitaji uhuru wao katika nyumba yao

    ReplyDelete
  2. Haupo serious mzee baba rudi sitimbi kwanza kajipange waache wanzako wale bhataaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad