Kasesela Awapinga Clouds Kuanzisha Shindano la Mkuu wa Wilaya Bora


Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amewaomba waandaaji wa shindano hilo walisitishe

Amesema kuwa anayejua ubora wa Wakuu wa Wilaya ni yule aliyewateua(Rais)

Shindano hilo limeandaliwa na Clouds Media Group kupitia kipindi cha Clouds 360
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad