Kocha wa Simba atoa zawadi hii kwa Mo Dewij

Kocha wa Simba atoa zawadi hii kwa Mo Dewij
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Mbelgij Patrick Winand J. Aussems alimaarufu Patrick Assems ameamua kumzawadi mwekezaji wa klabu hiyo Mohamed Dewij zawadi.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter Aussems amesema kuwa ushindi wa jana dhidi ya klabu ya Nkana kutoka nchini Zambia anaamua kumzawadia muwekezaji wa klabu hiyo Mo dewij.


Simba Jana walifanikiwa kupata ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Nkana ambao kwao walishinda goli 2-1 na kufanya jumla ya magoli kuwa 4-3, idadi ambayo inairuhusu Simba kuendelea na hatua inayofuata.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad