Kuna Watu Wanatutisha Tukimtetea Magufuli- Mrema

Kuna Watu Wanatutisha Tukimtetea Magufuli- Mrema
Ni headline nyingine tena kutoka kwa Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya parole Augustino Mrema ameibuka tena kujibu hoja za baadhi ya wapinzani wanaodai kwamba amekuwa akitumika na Serikali kwa makusudi jambo ambalo wamedai anazeeka vibaya.

“Watu wanasema kwamba Mrema anazeeka vibaya, Mrema ni kibaraka wa CCM na ingekuwa muda wake sasa kutulia atunze wajukuu. Hii tabia ya kutaka kumtenga Rais au tusimuunge mkono na likitokea jambo linafikiriwa kwa ubaya tu”

“Tunaonekana hata msajili anatutumia, sisi hatutumiwi na ni kwamba hiyo sheria inasema msajili apewe madaraka na angepewa hayo madaraka ingesaidia msajili kuwaondoa wale wate wanaochafua amani ya nchi” –

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad