Lemutuz Amkataa Benard Membe ' Hana Uwezo wa Kugombea Urais na Kushinda'


From @lemutuz_superbrand - LIVE STRAIGHT TALK: The Membe's Theory ni moja ya maajabu makubwa sana ya siasa za Tanzania cause ni mmoja wa wanasiasa wachache Tanzania waliobahatika kuwa overrated bila sababu cause as Politician sijui FACTS za aliwahi kufanikiwa nini kama a National Politician sana sana ni mmoja wa wanasiasa ma opportunists walio irukia dakika za mwisho treni ya kampeni za Rais Jakaya alipokua anatafuta Urais Mwaka 2005 na ni baada ya kujiridhisha kuwa JK alikua na nafasi kubwa ya kuwa Rais lakini sio kabla ...huwa ninamfananisha sana na Marehemu Oscar Kambona ambaye naye alijipatia umaarufu wa bila sababu as a National Politician infact muda ulipofika wa yeye binafsi kufanya siasa kiliishia kuwa kichekesho cha Karne pale Jangwani aliposimama kwenye kampeni za Urais akiwa mpinzani na kusema .."Baba wa Taifa Mwalimu Kambarage ni mwizi ameficha pesa Geneva" ...ndiyo siku alipojimaliza Kisiasa na hakusimama tena mpaka Mauti yalipomkuta na sasa tuna Membe ambaye hua siamini kila ninapoambiwa habari za kwamba he is a big threat to Awamu ya Tano na kwamba anao uwezo wa kushinda Urais Mwaka 2020 jamani ni nani anayetengeneza haya mauongo na ujinga ujinga huu na kuwaaminisha watu wengi kwamba huu ni Ukweli?...on a serious note it is a NONSENSE tena ni ujinga wa ajabu sana cause Membe ameshindwa Urais akiwa na Full Support ya the sitting President of the State aliyepita na Familia yake tena alishindwa kwa mbali sana ataweza kuwa Rais mwaka 2020 akiwa mwenyewe mbona ni Uongo wa kitoto sana?...I mean sina tatizo binafsi na Membe he is my friend na wafuasi wake ni marafiki zangu sana lakini kwa hili la Uraisi mbona ni Ujinga na Uongo wa kitoto sana kwa sababu Membe na Team yake mpaka leo hawajaweza kujitathmin walijikwaa wapi ukweli ni kwamba Membe was never a serious Candidate and he will never be ..WHY? he is not a serious Politician na sio Mwanasiasa wa Wananchi wa chini SIO MKWELI na amezungukwa na watu wajanja wajanja sana ambao hawajawahi kuwa serious na siasa zaidi ya kutafuta nafasi tu za kupiga pesa..kama ni kweli kuna vitu anafanya fanya huko pembeni ni kutingisha kibiriti tu lakini uwezo wa kugombea Urais na kushinda nakataa hana!..THIS CASE IS CLOSED! - @lemutuz_superbrand
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad