Lynn Kufanya Kolabo na Mobetto Mwenyewe Afunguka A-Z

Lynn Kufanya Kolabo na Mobetto Mwenyewe Afunguka A-Z
Mrembo anayetamba mtandaoni baada ya kuingia kwenye muziki wa Bongofleva na kuachia wimbo wake mpya Official Lyyn amesema kuwa anashukuru kuona mashabiki wamempokea vizuri na wimbo wake mpya unaoitwa ‘Chafu’ akiwa kama ndiye msanii mchanga anayeanza game.

Official lyyn ameongezea kwa kusema alijipanga vizuri na maneno ya watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kuingia kwenye muziki na kuhusu Hamisa Mobetto kasema tutegemee atafanya naye kolabo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad