Maafa: Mvua Yasababisha Kaya 336 Kukosa Makazi, Mmoja Afariki na 49 Wajeruhiwa


Kaya hizo ni za kijiji cha Kipeta huko Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mvua hiyo iliyoambata na upepo imeezua mapaa ya nyumba zao

Mvua hiyo ilianza kunyesha usiku wa kuamkia leo na inakadiriwa kudumu kwa muda wa dakika 45

Aliyefariki aliangukiwa na ukuta wa nyumba aliyokuwemo na majeruhi wamefikishwa katika Zahanati ya Kipetana Kilyamatundu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad