Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
1
October 17, 2024
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
Tags
Enter your comment...utafiti wako ni mzuri kwa sababu umetoa matokeo chanya ya madhara ya kukaa muda mrefu. Ni kweli tendo la ndo lina faida sana mbali na burudani ni chakula cha mwili na akili
ReplyDelete