Maisha ya sasa hayataki wasichana wazuri - Irene Paul


Msanii wa Filamu nchini, Irene Paul amesema kuwa maisha ya sasa hivi hayataki wasichana wazuri ila yanataka wanawake wenye akili. 

Msanii huyo ameiambia Dizzim Online kuwa yeye kama mama hawezi akamtegemea mume wake kumletea kila kitu ila kinachotakiwa ni kusaidiana. 

"Tunaenda kisasa zaidi, maisha ya sasa hivi hayataki wasichana wazuri, maisha ya sasa hivi yanataka wanawake wenye akili wanawake wanaojua kutafuta, mimi nikiwa kama mke kama mama siwezi kusema nitamtegemea mume wangu kuniletea kila kitu, siwezi nikasema nikamtegemea yeye afanye kila kitu oviously tunatakiwa kusaidiana kama hivyo," alisema Irene.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad