Manara afunguka sababu zilizopelekea Simba SC kufungwa na Mashujaa FC

Manara afunguka sababu zilizopelekea Simba SC kufungwa na Mashujaa FC
Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara amefunguka sababu za klabu hiyo kupokea kichapo cha goli 3-2 kutoka kwa maafande wa Kigoma, Mashujaa FC.

Related image
Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa, kichapo hicho kimetokana na ‘kuidharau timu hiyo’ jambo ambalo limesababisha matokeo hayo.

“Ni kweli mpira una matokeo matatu ila hili la leo limesababishwa na cc kuchukulia poa!! Poleni Washabiki wetu na mm kama Msemaji wenu nnaefurahi nanyi tunaposhinda niwaombe radhi sana na hayo ndio maisha ya Soka yalivyo Sasa tujikite kule.“

Kwa matokeo hayo ya jana, Simba FC imeyaaga rasmi mashindano ya Kombe la FA .
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad