Mange Kimambi Ampa Somo Jack Wolper " Harmonize Ameachwa Vibaya na Mzungu ndo Maana Anarudi Kwako..Usikubali"

From @mangekimambi_ - Wolper siku hizi nakupenda mpaka naumwa, naomba usirudi kwa huyu mtoto. Naomba ujiamini kuwa utameet mwanaume wa maana huna haja ya kuwa desperate.

Huyo kijana kaachwa vibaya na mzungu. Kaachwa kwa kutupiwa nguo nje. Mpaka mamake Sarah alikuja Tz kumtimua Harmo kwenye ghorofa la mwanae.

Kama nilivyowaambaga kipindi kile account ya Sarah anayo Harmonize. Wala sarah haandiki chochote. Ni huyo Harmo ndio anaeandika as if Sarah bado anamtaka. Sarah ndio kamuacha huyo, hana jeuri ya kuacha zile pesa za Sarah. Sarah karudi kwa wanaume anaowapenda, wenye mishedede mpaka magotini. Hao huwa wanapatikana maporini huko na kwenye fukwe za znz 🤣. hata kipindi kile story ya Mwarabu fighter, ilikuwa ni kweli. Hata sasa hivi Sarah atafutwe vizuri alipo🤣🤣

@wolperstylish Huyu mtu alikuacha sababu ya pesa leo katimuliwa ndo arudi kwako umpe tena Kiki?? Please naomba ujithamini. Usigope kuwa single. Be single ili umpate unaemtaka. Ukishakuwa na huyo ndo umebanwa tena. Na hakuna future na huyo na mtoto. Hapo anasubiria tena zali la mentali limdondokee akubwage tena. Embu be smart bwana.


Ladies never be afraid to be alone and single. Kuliko kudate kijitu tu ni bora uwe single ili siku ukim-meet unaemtaka unakuwa available. Na hivi ambavyo havina pesa wala adabu huwa vinakaba kona zote, huchepukiii. Vinawivuuuuu balaaa.Mimi kuna muda nilikuwa single kipindi kirefu tu, sio kwamba hakukuwa na yoyote anaenitaka nope nilikuwa naenda dates sana tu ila nilijiwekea standards, kama hafikiii standarnds bora nife mwenyewe kuliko kudate kimtu hata leo nikimwambia nna shida hawezi kunisaidia, wanini sasa? Si bora nijue moja nimedoda sina bwana 😂. Hiyo ndio inaitwa single by choice 😊. Haki kama Hakuna kitu kisichonisumbiaga maishani nikukaa single huku nikisubiria kumpata yule wa ndoto zangu.

Kweli Wolper huyu mtoto alivyokudhalilisha, malaya, sijui fundi cherehani. Matusi yote alikuita. Leo kaachwa na mzungu, vimemchachia wewe ndio umpe kiki tena? Please mama, you are a VERY beautiful woman. You will meet your dream guy just be patient. He is on his way. Have faith. .
.
Haki Wolper ukianza tena yale mambo ya RAJ, RAJ, sijui Baby Raj, nakupandia ndege nikuchape mabao

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad