Mashabiki wa Linah Wamjia juu kwa Kuedit Picha za Mwanaye


Mashabiki wa Linah wamuendea juu baada ya picha ya mwanaye katika uhalisia wake kusambaa huku ikimuonyesha akiwa ni mweusi wakati kwenye picha take na mama yake alionekana akiwa ni mweupe.

Mashabiki zake wamelalamika wakidai kuwa so sawa Ku edit picha za mtoto na anapaswa kumpenda na kumkubali mwanaye jinsi alivyo!

Toa Maoni yako!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad