MOJA Kubwa yarudi Tena, Hii ndio Tarehe na Sehemu itakayofanyika Fiesta Baada ya Kuahirishwa


Uongozi wa Clouds media group umetangaza upya tarehe na sehemu itakayofanyika Fiesta kabla ya mwaka mpya baada ya mara ya kwanza kuahirishwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam.



Ikumbukwe kwamba Fiesta ilifanyika karibia mikoa 15 nchini Tanzania lakini ilipofika wakati wa kufanyika hapa Dar Es Salaam ambayo ndio ilikuwa inafunga msimu mpya wa Fiesta ilisitishwa kwa madai kwamba sehemu ambako ingeenda kufanyika ingeleta taharuki kutokana na kelele zitakazojitokeza mahala hapo.

Barua iliyotolewa na uongozi wa wilaya ya Kinondoni ndio ulitaka tamasha hilo kufanyika sehemu nyingine ambayo ni viwanja vya Tanganyika Pekas Kawe na badala yake tamasha  hilo liliahirishwa ambapo ilikuwa ni tarehe 24/11/2018.

Hivyo basi uongozi wa CGM umetangaza tarehe mpya na sehemu ambako Tamasha hilo litafanyika:-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad