Msanii wa muziki wa kutoka kundi la Kings Music la muimbaji Alikiba, Cheed ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Masozy’ uliyowashirikisha K-2GA na Alikiba. Audio ya wimbo huo ikiwa imefanyika Combination Sounds huku video ikiongozwa na Kevin Bosco Jr.
VIDEO: