Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake
Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7
Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa Halmashauri nyingine