Mwili wa mwanadada Wema Sepetu umezua mjadala mkubwa katika mitandao ya instagram baada ya mwanadada huyo kuanza kuonyesha picha zake za mwili wake kwa jinsi livyopungua kwa sasa.
Mwanadada huyo ambae alisemwa sana kipndi fulani baada ya habari kusambaa kwamba mwanadada huto amekwenda kukata utumbo ili aweze kupunguza mwili wake na kuumwa sana hata afya yake kulegalega.
Wema sepetu kwa sasa anazidi kurudi katika mwili wake wa zamani kipindi alipokuwa miss na umbo hilo limewafanya watu wengi kumtamani sana kuwa kama yeye.