Natamani Sana na Mimi Niwe na Mtoto Wangu Seema Ramani Azisomi- Amber Lulu

Natamani Sana na Mimi Niwe na Mtoto Wangu Seema RAmani Azisomi- Amber Lulu
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amesema amekuwa akitamani na yeye aitwe mama kama ilivyo kwa wenzake lakini namna ya kumpata mtoto ndiyo anashindwa kujua kwani ‘ramani haisomeki’. 



Akizungumza na Risasi Jumamosi, Amber alisema kuwa iwapo atapata mwanaume wa kuishi naye ambaye hana longolongo, ataanzisha naye familia lakini kwa sasa maisha yake ya kimapenzi hayaelewielewi.



“Siyo kwamba sipendi watoto jamani lakini naona bado ramani haijasomeka kabisa maana siyo nazaa halafu hata ‘pampers’ ya kumvalisha mtoto nakosa, kitu hicho sikipendi kabisa, bado naangalia kwanza, kwani kuzaa sio fasheni,” alisema Amber Lulu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad