Nick Minaji Ajiachia Mahaba Kama Yote na Mpenzi Wake Mpya

Nick Minaji Ajiachia Mahaba Kama Yote na Mpenzi Wake Mpya
Rapper wa kike kutoka nchini Trindandi and Tobago akiwa na makazi yake nchini Marekani Onika Tanya Maraj alimaarufu Nicki Minaj ameamua kuudhihirishia ulimwengu kwamba sehemu alipo sasa hajakose.


Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost clip inayoonyesha jinsi alivyomdatisha mpenzi wake mpya baada ya kuonyesha tatoo ya jina lake iliyochorwa shingoni. IngAwa Nicki hajaonyesha tatto aliyoichora kwa ajili ya mpenzi wake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad