Nimegundua Wanaume Wengi Kwa Sasa Upendelea Kuao Wadada Wenye Tabia Hizi




Katika pitapita zangu, na kujionea maisha ya wanaume wenzangu, nimegundua kuwa wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wapole ambaye akijadiliana nae jambo hapandi juu kama kifuu cha Nazi ya moto, vile vile mwenye uchumi mdogo asimzidi yeye na zaidi awe na hofu na Mungu na kumshauri mwanaume anapokosea pia Mwenye Mawazo ya Kimaisha.

Wale Wapenda Starehe Ambao ni Wengi kwa Kipindi Hichi Tunawapenda tu kwa Starehe za Muda ila Kuoa na Kuweka Ndani ni Nadra Sana..Je Utafiti wangu ni Sawa ?

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

  1. Kutana na mtaalamu WA mitishamba dr toka tanga anazo dawa za uzazi ..ugumba...kukuza hips shape na makalio..kukuza uume na kunenepesha...anatibu bawasiri . UTI sugu...watoto mapacha mpigie kupitia 0744903557 dawa zake ni mitishamba na anasafirisha popote ulipo Kwa anayehitaj

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad