Nkana Yajitapa Kumaliza Simba yadai si Kitu Kwao

Wapinzani wa Simba, Nkana FC ya Zambia wanaonekana kiana kama wana mchecheto hivi.

Maana wameanza kutumia mitandao ya kijamii kupambana na Simba kabla hawajakutana katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Tayari Nkana FC wameanza kutupia mitandaoni wakionyesha kuwa wana uhakika wa kuing'oa Simba kwa kuwa si timu imara.

Zaidi, wameongeza Simba si imara kama Yanga unapokuwa Tanzania. Hivyo wanajua lazima watawaondoshea mbali.

Inaonekana wazi ni sehemu ya Nkana FC anayoichezea Mtanzania, Hassan Kessy kuanza kutafuta mashabiki na hasa wale wa Yanga kwa ajili ya kuwaunga mkono watakapotua hapa nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad