Nyoka ni muoga na ana aibu sana kuliko unavyomdhania


Nyoka hana urafiki na binadamu wala kiumbe yeyote yule. Akinusa tu kuna binadamu maeneo yake anajiepusha nae kwa kutokomea mbali zaidi machakani.

Ukikutana na nyoka ghafla anapanick sana na kuanza kujibaraguza bila kujua afanye nini. Na ndo maana anatumia mdomo wake kuhamaki kukung'ata maana hana kiungo chochote cha kujizuia.

Na anapokugonga yeye anapata shida sana hasa anaponyofoa vijino vyake kwenye ngozi yako.

Nyoka ni muoga na ana aibu sana na sura ya binadamu kuliko umdhaniavyo.

Ukikutana na nyoka mtishia na mpigie mayowe. Anapata shida sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad