Staa Petitman Wakuache amekaza kuongelea ishu zake mbalimbali ikiwemo ishu ya uhusiano wake na mdogo wa Diamond, Esma Platnumz ambapo kwa mara ya kwanza ameweka wazi suala la kuachana kwao.
Petitman anasema “Kwenye mahusiano kuna makosa, kila Binadamu ameumbwa lakini ana mapungufu yake, Mimi na Esma tuliishi miaka mitano siwezi weka hadharani yaliyotokea yule ni Mke wangu tumezaa nae, matatizo yapo ni kawaida”
Petit Man Afunguka Kisa Cha Kuachana na Esma "Bado ni Mke Wangu na Nina Mtoto Naye"
0
December 07, 2018
Tags