Petit Man Afunguka Kisa Cha Kuachana na Esma "Bado ni Mke Wangu na Nina Mtoto Naye"

Petit Man Afunguka Kisa Cha Kuachana na Esma
Staa Petitman Wakuache amekaza  kuongelea ishu zake mbalimbali ikiwemo ishu ya uhusiano wake na mdogo wa Diamond, Esma Platnumz ambapo kwa mara ya kwanza ameweka wazi suala la kuachana kwao.

Petitman anasema “Kwenye mahusiano kuna makosa, kila Binadamu ameumbwa lakini ana mapungufu yake, Mimi na Esma tuliishi miaka mitano siwezi weka hadharani yaliyotokea yule ni Mke wangu tumezaa nae, matatizo yapo ni kawaida”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad