Picha: Hivi Ndivyo Wema Sepetu Alivyosheherekea Sikukuu ya Christmas

Picha: Hivi Ndivyo Wema Sepetu Alivyosheherekea Sikukuu ya Christmas
Mwanadada Wema seetu ameonyesha mapenzi ake kwa watoto hata kuwakumbuka katika sikukuu ya krismass kwa kuwatembelea watoto wa kituo kimoja cha watoto yatima kilichopo jijini.

Wema sepetu alijikusanaya na baadhi ya mafariki na mashabiki na wanafamilia kwa ajili ya kutoa sadaka yake kwa wahitaji kama inavyoonekana:-




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad