Ray C Amwandikia Ruge Mutahaba Meneno Yenye Uchungu "Amka Bwana Nishachoka Kukusubiri"


From #rayctanzania - Amka bwana...Nshachoka kusubiri,msg zangu hujibu,simu hupokei,na stori kibao nataka kukwambia ingawa najua utanchamba lakini nishazoea kukwambia kila kitu changu kinachoendelea kwenye maisha yangu,tunagombanaga mpaka tunablokiana lakini tukionana tu tukaangaliana tunabaki kucheka tu...Nishazoea kukwambia mambo yangu sababu we ndo msiri wangu,we ndo unanipaga makavu nikiharibu, Kuna muda mpaka nalia na ukiona nalia ndo unazidi kunipa makavu bila huruma.....Naondoka kwa hasira ingawa moyoni najua uliyoniambia ni kweli .....nakununiaaaaa ila haifiki wiki huyo nishakuja ofisini,Muda mwingine sina hata cha maana cha kukwambia ila nakuja tu ofisini kukuona unitanie nicheke,!Ray C umenimiss eeh😭😭😭....Kama nywele hujazielewa unanipa live Ray nenda Katoe hizo nywele,😢😢Nikikuona tu napata amani ya moyo..Nikitoka tu studio wa kwanza kukutumia demo! ni wewe,wewe tu miaka yote tangu nimeanza muziki sababu naheshimu sikio lako na naliamini......Mwezi wa ngapi sasa huu Ruge!Natuma msg, nakupigia, natamani kukuimbia japo kidogo upate nguvu sikupati..Ruge najua huko ulipo Unaumia sana,najua unataka kuamka na kufanya kazi zako.PLS WAKE UP babaa.Please!You are too strong babaa,Don't give up Please.😭.
4 U👇
Nishike mkono,Nibusu shavuni, Vyovyote vile,Nakupenda.(your favourite song )😢
#AmkaRuge😪

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad