Ristam amesema miaka ya nyuma sheria na kanuni za biashara hazikuwa zinafuatwa
Ameongeza kuwa hakukuwa na uwanja wenye sawa katika kufanya biashara
Kuna wafanyabiashara walikuwa wanakwepa au kulipa kodi kidogo, hivyo wengine walikuwa wakinufaika kupitia migongo ya watu wengine
Ni wakati muafaka kwa wawekezaji kuja kwa wingi kwasababu uwanja wa biashara unaboreshwa sasa
Kuhusu taarifa ya Benki ya Dunia kuhusu kushuka kwa uchumi wa Tanzania, Rostam amesema si kweli na hatupaswi kusubiri wageni kutuambia hali ya nchi yetu, tunaijua wenyewe