Sheria Yatungwa China Kudhibiti Gharama Kwa Ajili ya Mahari


Uhaba wa mabinti wapelekea kupanga kwa gharama ya mahari. Eneo la Da' anliu latunga sheria ya kudhibiti ongezeko hilo

Inaelezwa kuwa gharama zilifikia Dola za Kimarekani 38,000. Sheria yataka isizidi Dola 2,900

Mwaka 1979 China ilipitisha sheria ya kutaka kila familia kuwa na Mtoto mmoja, sheria hii ndio imepelekea uhaba huu

Sheria hiyo ilisababisha watoto wa kiume wapendelewe zaidi na mimba ya za Watoto wa kike kutolewa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad