Akitoa sababu kwanini hawakuweza kuendeleza ushikaji kati yake na diamond ilihali walikuwa marafiki wakubwa na hata familia zao zilikuwa karibu sana na kufanikiwa kufanya kazi pamoja shetta ansema kuwa kamwe hawawezi kuwa marafiki tena labda mahusiano ya kibiashara tu.
Hakuna tatizo kati yetu ila sema tu ndo hivyo kwa sasa kila mtu yuko na mishe zake tu za kimasiha na hata kama tutaongea itakuwa ni mazungumzo ya kibiashara lakini sio ushikaji tena.